Luka 6:43 - Swahili Revised Union Version43 Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 “Mti mzuri hauzai matunda mabaya, wala mti mbaya hauzai matunda mazuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 “Mti mzuri hauzai matunda mabaya, wala mti mbaya hauzai matunda mazuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 “Mti mzuri hauzai matunda mabaya, wala mti mbaya hauzai matunda mazuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 “Hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala hakuna mti mbaya uzaao matunda mazuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 “Hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala hakuna mti mbaya uzaao matunda mazuri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri; Tazama sura |
Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako.