Luka 6:28 - Swahili Revised Union Version28 wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi. Tazama sura |