Luka 6:12 - Swahili Revised Union Version12 Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ikawa katika siku hizo Isa alienda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ikawa katika siku hizo Isa alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu. Tazama sura |