Luka 4:24 - Swahili Revised Union Version24 Akasema, Amin, nawaambia ya kwamba, Hakuna nabii anayekubaliwa katika nchi yake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi kijijini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi kijijini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi kijijini mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Isa akasema, “Amin, nawaambia, hakuna nabii anayekubalika katika mji wake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Isa akasema, “Amin, nawaambia, hakuna nabii anayekubalika katika mji wake mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Akasema, Amin, nawaambia ya kwamba, Hakuna nabii anayekubaliwa katika nchi yake mwenyewe. Tazama sura |