Luka 4:21 - Swahili Revised Union Version21 Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo Andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu. Tazama sura |