Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 3:5 - Swahili Revised Union Version

5 Kila bonde litajazwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopindika patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patalainishwa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima vitashushwa. Njia zilizopinda zitanyooshwa, na zilizoparuza zitasawazishwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima vitashushwa. Njia zilizopinda zitanyooshwa, na zilizoparuza zitasawazishwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Kila bonde litajazwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopindika patakuwa pamenyooka, Na palipoparuza patalainishwa;

Tazama sura Nakili

Luka 3:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;

Nitawaleta vipofu kwa njia wasiyoijua; katika mapito wasiyoyajua nitawaongoza; nitafanya giza kuwa nuru mbele yao; na mahali palipopotoka kuwa pamenyoka. Haya nitayatenda, wala sitawaacha.

Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukatakata mapingo ya chuma;

Nami nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na njia zangu zote kuu zitainuliwa.

Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, BWANA, nimenena, nami nimelitenda jambo hili.

Lakini ndugu asiye na cheo na afurahi kwa kuwa ametukuzwa;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo