Luka 24:22 - Swahili Revised Union Version22 tena, wanawake kadhaa wa kwetu walitushitusha, waliokwenda kaburini asubuhi na mapema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walienda kaburini leo alfajiri, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walikwenda kaburini leo alfajiri, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 tena, wanawake kadhaa wa kwetu walitushitusha, waliokwenda kaburini asubuhi na mapema, Tazama sura |