Luka 21:14 - Swahili Revised Union Version14 Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Basi, kusudieni mioyoni mwenu, kutofikiri-fikiri kwanza mtakavyojibu; Tazama sura |