Luka 20:29 - Swahili Revised Union Version29 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Basi kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto; Tazama sura |