Luka 20:12 - Swahili Revised Union Version12 Akamtuma na wa tatu; huyu naye wakamtia jeraha, wakamtupa nje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Akamtuma tena wa tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Akamtuma tena wa tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Akamtuma tena wa tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Bado akamtuma na mwingine wa tatu, huyu pia wakamjeruhi na kumtupa nje ya shamba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Bado akamtuma na mwingine wa tatu, huyu pia wakamjeruhi na kumtupa nje ya shamba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Akamtuma na wa tatu; huyu naye wakamtia jeraha, wakamtupa nje. Tazama sura |