Luka 2:45 - Swahili Revised Union Version45 na walipomkosa, wakarudi Yerusalemu, huku wakimtafuta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Walipomkosa walirudi Yerusalemu ili kumtafuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Walipomkosa walirudi Yerusalemu ili kumtafuta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Walipomkosa, wakarudi Yerusalemu, huku wakimtafuta. Tazama sura |