Luka 19:7 - Swahili Revised Union Version7 Hata watu walipoona, walinung'unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunungunika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunungunika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Watu wote walipoona hivyo, wakaanza kunung’unika wakisema, “Ameenda kuwa mgeni wa mtu mwenye dhambi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Watu wote walipoona hivyo, wakaanza kunung’unika wakisema, “Amekwenda kuwa mgeni wa ‘mtu mwenye dhambi.’ ” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Hata watu walipoona, walinung'unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi. Tazama sura |