Luka 19:48 - Swahili Revised Union Version48 wasione la kutenda, kwa kuwa watu wote walikuwa wakiandamana naye, wakimsikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Lakini hawakupata nafasi kwa sababu watu wote walimfuata wakiyasikiliza maneno yake kwa usikivu mwingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Lakini hawakupata nafasi kwa sababu watu wote walimfuata wakiyasikiliza maneno yake kwa usikivu mwingi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI48 wasione la kutenda, kwa kuwa watu wote walikuwa wakiandamana naye, wakimsikiliza. Tazama sura |