Luka 19:45 - Swahili Revised Union Version45 Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Kisha, Yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje wafanyabiashara Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Kisha, Yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje wafanyabiashara Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Kisha, Yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje wafanyabiashara Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Ndipo akaingia eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Ndipo akaingia eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara, Tazama sura |