Luka 19:38 - Swahili Revised Union Version38 wakasema, Ndiye mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; amani mbinguni, na utukufu huko juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 “Amebarikiwa mfalme ajaye kwa Jina la Mwenyezi Mungu!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 “Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana Mwenyezi Mungu!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 wakasema, Ndiye mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; amani mbinguni, na utukufu huko juu. Tazama sura |