Luka 15:16 - Swahili Revised Union Version16 Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu. Tazama sura |