Luka 15:12 - Swahili Revised Union Version12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali iliyo uridhi wangu. Akawagawia mali yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali iliyo urithi wangu. Akawagawia mali yake. Tazama sura |