Luka 13:31 - Swahili Revised Union Version31 Saa ile ile Mafarisayo kadhaa walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Wakati huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Wakati huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Wakati huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Isa na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Isa na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Saa ile ile Mafarisayo kadhaa walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua. Tazama sura |