Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 13:28 - Swahili Revised Union Version

28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Abrahamu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Ndipo kutakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona Abrahamu, Isaka na Yakobo na manabii wote wapo katika ufalme wa Mungu, lakini nyinyi wenyewe mmetupwa nje!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Ndipo kutakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona Abrahamu, Isaka na Yakobo na manabii wote wapo katika ufalme wa Mungu, lakini nyinyi wenyewe mmetupwa nje!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Ndipo kutakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona Abrahamu, Isaka na Yakobo na manabii wote wapo katika ufalme wa Mungu, lakini nyinyi wenyewe mmetupwa nje!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 “Ndipo kutakuwako kilio na kusaga meno, mtakapowaona Ibrahimu, Isaka, Yakobo na manabii wote wakiwa katika ufalme wa Mungu, lakini ninyi mkiwa mmetupwa nje.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 “Ndipo kutakuwako kilio na kusaga meno, mtakapowaona Ibrahimu, Isaka, Yakobo na manabii wote wakiwa katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu, lakini ninyi mkiwa mmetupwa nje.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Abrahamu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.

Tazama sura Nakili

Luka 13:28
15 Marejeleo ya Msalaba  

Asiye haki ataona na kusikitika, Atasaga meno yake na kuondoka, Matumaini ya wasio haki hupotea.

na kuwatupa katika tanuri ya moto, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

na kuwatupa katika tanuri ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni mikono na miguu, mchukueni mkamtupe katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Na mtumwa yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Nawe Kapernaumu, je! Utakuzwa hata mbinguni? Utashushwa hata kuzimu.

Basi aliposikia hayo mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye alimwambia, Heri yule atakayekula mkate katika ufalme wa Mungu.

Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Abrahamu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.

Ndiyo ishara hasa ya hukumu iliyo haki ya Mungu, ili mhesabiwe kuwa mwastahili kuuingia ufalme wa Mungu, ambao kwa ajili yake mnateswa.

Maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu, Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo