Luka 13:13 - Swahili Revised Union Version13 Akaweka mikono yake juu yake, naye akanyoka mara hiyo, akamtukuza Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Isa alipomwekea mikono yake, akasimama wima mara moja, akaanza kumtukuza Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Isa alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Akaweka mikono yake juu yake, naye akanyoka mara hiyo, akamtukuza Mungu. Tazama sura |