Luka 12:57 - Swahili Revised Union Version57 Na mbona ninyi wenyewe kwa nafsi zenu hamwamui yaliyo haki? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 “Na kwa nini hamwezi kujiamulia wenyewe jambo jema la kufanya? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 “Na kwa nini hamwezi kujiamulia wenyewe jambo jema la kufanya? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 “Na kwa nini hamwezi kujiamulia wenyewe jambo jema la kufanya? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 “Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 “Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI57 Na mbona ninyi wenyewe kwa nafsi zenu hamwamui yaliyo haki? Tazama sura |