Luka 12:55 - Swahili Revised Union Version55 Na kila ivumapo kaskazi, husema, Kutakuwa na joto; na ndivyo ilivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI55 Na kila ivumapo kaskazi, husema, Kutakuwa na joto; na ndivyo ilivyo. Tazama sura |