Luka 12:40 - Swahili Revised Union Version40 Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Nanyi, kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Nanyi, kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Nanyi, kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Ninyi nanyi hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Ninyi nanyi hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu. Tazama sura |