Luka 12:29 - Swahili Revised Union Version29 Ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa; wala msiwe na wasiwasi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 “Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 “Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 “Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa; wala msiwe na wasiwasi, Tazama sura |