Luka 12:25 - Swahili Revised Union Version25 Na yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ni nani miongoni mwenu ambaye kwa kujitaabisha kwake anaweza kujiongezea hata saa moja zaidi katika maisha yake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ni nani miongoni mwenu ambaye kwa kujitaabisha kwake anaweza kujiongezea hata saa moja zaidi katika maisha yake? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Na yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja? Tazama sura |