Luka 11:47 - Swahili Revised Union Version47 Ole wenu, kwa kuwa mwajenga maziara ya manabii, na baba zenu ndio waliowaua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 “Ole wenu, kwa sababu ninyi mnajenga makaburi ya manabii waliouawa na baba zenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 “Ole wenu, kwa sababu ninyi mnajenga makaburi ya manabii waliouawa na baba zenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI47 Ole wenu, kwa kuwa mwajenga maziara ya manabii, na baba zenu ndio waliowaua. Tazama sura |