Luka 10:26 - Swahili Revised Union Version26 Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Isa akamjibu, “Imeandikwaje katika Torati? Kwani unasoma nini humo?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Isa akamjibu, “Imeandikwaje katika Torati? Kwani unasoma nini humo?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje? Tazama sura |