Luka 10:23 - Swahili Revised Union Version23 Akawageukia wanafunzi wake, akasema nao kwa faragha, Heri macho yaonayo mnayoyaona ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Basi Isa akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Basi Isa akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Akawageukia wanafunzi wake, akasema nao kwa faragha, Heri macho yaonayo mnayoyaona ninyi. Tazama sura |