Luka 10:18 - Swahili Revised Union Version18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yeye akawaambia, “Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yeye akawaambia, “Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yeye akawaambia, “Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Isa akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama radi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Isa akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama umeme wa radi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. Tazama sura |