Luka 10:15 - Swahili Revised Union Version15 Nawe Kapernaumu, je! Utakuzwa hata mbinguni? Utashushwa hata kuzimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nawe Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha! Utashushwa hadi Kuzimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nawe, Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha, utashushwa mpaka kuzimu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Nawe Kapernaumu, je! Utakuzwa hata mbinguni? Utashushwa hata kuzimu. Tazama sura |