Luka 10:12 - Swahili Revised Union Version12 Nawaambia ya kwamba siku ile itakuwa rahisi zaidi Sodoma kuistahimili adhabu yake kuliko mji huo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hakika nawaambieni, siku ile mji huo utapata adhabu kubwa kuliko ile ya watu wa Sodoma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hakika nawaambieni, siku ile mji huo utapata adhabu kubwa kuliko ile ya watu wa Sodoma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hakika nawaambieni, siku ile mji huo utapata adhabu kubwa kuliko ile ya watu wa Sodoma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ninawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ile kuliko mji ule. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ninawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ile kuliko mji ule. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Nawaambia ya kwamba siku ile itakuwa rahisi zaidi Sodoma kuistahimili adhabu yake kuliko mji huo. Tazama sura |