Luka 1:65 - Swahili Revised Union Version65 Wakaingiwa na hofu wote waliokuwa wakikaa karibu nao; na mambo hayo yote yakatangazwa katika nchi yote ya Yudea yenye milima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza65 Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu65 Majirani wote wakajawa na hofu ya Mungu, na katika nchi yote ya vilima ya Yudea watu walikuwa wakinena kuhusu mambo haya yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu65 Majirani wote wakajawa na hofu ya Mungu, na katika nchi yote ya vilima vya Uyahudi watu walikuwa wakinena juu ya mambo haya yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI65 Wakaingiwa na hofu wote waliokuwa wakikaa karibu nao; na mambo hayo yote yakatangazwa katika nchi yote ya Yudea yenye milima. Tazama sura |