Luka 1:52 - Swahili Revised Union Version52 Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewainua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya utawala, lakini amewainua wanyenyekevu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI52 Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewainua. Tazama sura |