Luka 1:50 - Swahili Revised Union Version50 Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Rehema zake hudumu kizazi hadi kizazi, kwa wale wanaomcha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI50 Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha. Tazama sura |