Luka 1:19 - Swahili Revised Union Version19 Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mwenyezi Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema. Tazama sura |