Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Luka 1:16 - Swahili Revised Union Version

16 Na wengi katika Waisraeli atawarejesha kwa Bwana Mungu wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Atawaelekeza wengi wa watu wa Israeli kwa Bwana Mungu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Atawaelekeza wengi wa watu wa Israeli kwa Bwana Mungu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Atawaelekeza wengi wa watu wa Israeli kwa Bwana Mungu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Naye atawageuza wengi wa Waisraeli warudi kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Naye atawageuza wengi wa wana wa Israeli warudi kwa Bwana Mwenyezi Mungu wao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Na wengi katika Waisraeli atawarejesha kwa Bwana Mungu wao.

Tazama sura Nakili




Luka 1:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuyainua makabila ya Yakobo, na kuwarejesha watu wa Israeli waliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.


Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.


Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijia katika hekalu lake ghafla; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi.


Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.


Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake Aliye Juu, Kwa maana utatangulia mbele za uso wa Bwana umtengenezee njia zake;


Akafika katika nchi yote iliyo karibu na Yordani, akihubiri ubatizo wa toba iletayo ondoleo la dhambi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo