Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 9:5 - Swahili Revised Union Version

5 Naye BWANA akaweka muda, akasema, Kesho BWANA atalifanya jambo hili katika nchi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Tena, Mwenyezi-Mungu akaweka wakati maalumu akisema, “Kesho mimi Mwenyezi-Mungu nitatekeleza jambo hilo nchini Misri.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Tena, Mwenyezi-Mungu akaweka wakati maalumu akisema, “Kesho mimi Mwenyezi-Mungu nitatekeleza jambo hilo nchini Misri.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Tena, Mwenyezi-Mungu akaweka wakati maalumu akisema, “Kesho mimi Mwenyezi-Mungu nitatekeleza jambo hilo nchini Misri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mwenyezi Mungu akaweka wakati na kusema, “Kesho Mwenyezi Mungu atalitenda hili katika nchi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 bwana akaweka wakati na kusema, “Kesho bwana atalitenda hili katika nchi.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Naye BWANA akaweka muda, akasema, Kesho BWANA atalifanya jambo hili katika nchi.

Tazama sura Nakili

Kutoka 9:5
10 Marejeleo ya Msalaba  

Mbona nyakati zisiwekwe na Mwenyezi? Na hao wamjuao mbona hawazioni siku zake?

Au, kwamba wakataa kuwapa hao watu wangu ruhusa waende zao, tazama, kesho nitaleta nzige waingie ndani ya mipaka yako;

Nami nitatia mpaka kati ya watu wangu na watu wako; ishara hiyo italetwa kesho.

Tazama, kesho wakati kama huu, nitanyesha mvua ya mawe nzito sana, ambayo mfano wake haujakuwa huko Misri tangu siku ile ilipoanza kuwa hata hivi sasa.

Kisha BWANA atawatenga wanyama wa Israeli na wanyama wa Misri; wala hakitakufa kitu chochote cha wana wa Israeli.

BWANA akalifanya jambo hilo siku ya pili, na wanyama wote wa kufugwa wa Misri wakafa; lakini katika wanyama wa wana wa Israeli hakufa hata mmoja.

kisha akanena na Kora na mkutano wake wote, akawaambia, Asubuhi BWANA ataonesha ni kina nani walio wake, kisha ni nani aliye mtakatifu, tena ni nani atakayemkaribisha kwake; maana, yeye atakayemchagua ndiye atakayemsongeza kwake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo