Kutoka 8:7 - Swahili Revised Union Version7 Waganga nao wakafanya mfano wa hayo kwa uganga wao; na kuwaleta vyura juu ya nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini wachawi wa Misri kwa uchawi wao pia wakaleta vyura nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini wachawi wa Misri kwa uchawi wao pia wakaleta vyura nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini wachawi wa Misri kwa uchawi wao pia wakaleta vyura nchini Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini waganga wakafanya vivyo hivyo kwa siri ya uganga wao, nao pia wakafanya vyura kuja juu ya nchi ya Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini waganga wakafanya vivyo hivyo kwa siri ya uganga wao, nao pia wakafanya vyura kuja juu ya nchi ya Misri. Tazama sura |