Kutoka 8:12 - Swahili Revised Union Version12 Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, Mose na Aroni wakaondoka nyumbani kwa Farao, na Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu amwondolee Farao uvamizi wa vyura hao aliomletea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, Mose na Aroni wakaondoka nyumbani kwa Farao, na Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu amwondolee Farao uvamizi wa vyura hao aliomletea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, Mose na Aroni wakaondoka nyumbani kwa Farao, na Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu amwondolee Farao uvamizi wa vyura hao aliomletea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Baada ya Musa na Haruni kuondoka kwa Farao, Musa akamlilia Mwenyezi Mungu kuhusu vyura aliokuwa amewaleta kwa Farao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Baada ya Musa na Haruni kuondoka kwa Farao, Musa akamlilia bwana kuhusu vyura aliokuwa amewaleta kwa Farao. Tazama sura |