Kutoka 7:7 - Swahili Revised Union Version7 Huyo Musa alikuwa ni mtu wa miaka themanini umri wake, na Haruni alikuwa ni mtu wa miaka themanini na mitatu, hapo waliponena na Farao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mose alikuwa na umri wa miaka themanini, na Aroni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu wakati huo walipoongea na Farao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mose alikuwa na umri wa miaka themanini, na Aroni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu wakati huo walipoongea na Farao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mose alikuwa na umri wa miaka themanini, na Aroni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu wakati huo walipoongea na Farao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Musa alikuwa na umri wa miaka themanini na Haruni alikuwa na umri wa miaka themanini na tatu walipozungumza na Farao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Musa alikuwa na umri wa miaka themanini na Haruni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu walipozungumza na Farao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Huyo Musa alikuwa ni mtu wa miaka themanini umri wake, na Haruni alikuwa ni mtu wa miaka themanini na mitatu, hapo waliponena na Farao. Tazama sura |