Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 5:10 - Swahili Revised Union Version

10 Hao wasimamizi wa watu na wanyapara wao wakatoka, wakasema na watu, wakanena, Farao asema hivi, Mimi siwapi majani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Basi, wanyapara na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu, “Farao anasema hivi, ‘Sitawapeni nyasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Basi, wanyapara na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu, “Farao anasema hivi, ‘Sitawapeni nyasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Basi, wanyapara na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu, “Farao anasema hivi, ‘Sitawapeni nyasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Basi viongozi wa watumwa na wasimamizi wakaenda kuwaambia watu, “Hivi ndivyo Farao asemavyo: ‘Sitawapa nyasi tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Basi viongozi wa watumwa na wasimamizi wakaenda kuwaambia watu, “Hivi ndivyo Farao asemavyo: ‘Sitawapa tena nyasi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Hao wasimamizi wa watu na wanyapara wao wakatoka, wakasema na watu, wakanena, Farao asema hivi, Mimi siwapi majani.

Tazama sura Nakili

Kutoka 5:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.

BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;

Nendeni wenyewe, jipatieni majani hapo mtakapoyaona; kwa maana kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.

Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema,

Wapeni watu hao kazi nzito zaidi, waitaabikie; wala wasiangalie maneno ya uongo.

Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu.

Ufunuo juu ya wanyama wa Negebu. Katikati ya nchi ya taabu na dhiki, Ambayo hutoka huko simba jike na simba angurumaye, Nyoka na joka la moto arukaye, Huchukua mali zao mabegani mwa punda wachanga, Na hazina zao juu ya nundu za ngamia Waende kwa watu ambao hawatawafaa kitu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo