Kutoka 30:3 - Swahili Revised Union Version3 Nawe utaifunikiza dhahabu safi juu yake, na mbavu zake kandokando, na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuizunguka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yote utaipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake zote za ubavuni na pembe zake; pia utaizungushia ukingo wa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yote utaipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake zote za ubavuni na pembe zake; pia utaizungushia ukingo wa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yote utaipaka dhahabu safi: upande wake wa juu, pande zake zote za ubavuni na pembe zake; pia utaizungushia ukingo wa dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka. Tazama sura |