Kutoka 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Musa akasema, Nitageuka sasa niende nione kioja hiki, kwa nini kichaka hiki hakiteketei. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, akajisemea, “Hiki ni kioja! Kichaka kuwaka moto na kisiungue? Hebu nitazame vizuri.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, akajisemea, “Hiki ni kioja! Kichaka kuwaka moto na kisiungue? Hebu nitazame vizuri.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, akajisemea, “Hiki ni kioja! Kichaka kuwaka moto na kisiungue? Hebu nitazame vizuri.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo Musa akawaza, “Nitageuka sasa nione kitu hiki cha ajabu, nami nione ni kwa nini kichaka hiki hakiteketei.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo Musa akawaza, “Nitageuka sasa nione kitu hiki cha ajabu, nami nione ni kwa nini kichaka hiki hakiteketei.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Musa akasema, Nitageuka sasa niende nione kioja hiki, kwa nini kichaka hiki hakiteketei. Tazama sura |