Kutoka 3:11 - Swahili Revised Union Version11 Musa akamwambia Mungu, Mimi ni nani, hata niende kwa Farao, nikawatoe wana wa Israeli watoke Misri? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Lakini Mose akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata nimwendee Farao na kuwatoa Waisraeli nchini Misri?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Lakini Mose akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata nimwendee Farao na kuwatoa Waisraeli nchini Misri?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Lakini Mose akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata nimwendee Farao na kuwatoa Waisraeli nchini Misri?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini Musa akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata niende kwa Farao kuwatoa Waisraeli nchini Misri?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini Musa akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata niende kwa Farao kuwatoa Waisraeli nchini Misri?” Tazama sura |