Kutoka 24:2 - Swahili Revised Union Version2 na Musa peke yake ndiye atakayekaribia karibu na BWANA; lakini hao hawatakaribia karibu; wala hao watu hawatakwea pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasije karibu, na Waisraeli wasipande mlimani pamoja nawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasije karibu, na Waisraeli wasipande mlimani pamoja nawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasije karibu, na Waisraeli wasipande mlimani pamoja nawe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 lakini Musa peke yake ndiye atakayemkaribia Mwenyezi Mungu; wengine wasije karibu. Nao watu wasije wakapanda pamoja naye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 lakini Musa peke yake ndiye atakayemkaribia bwana; wengine wasije karibu. Nao watu wasije wakapanda pamoja naye.” Tazama sura |