Kutoka 22:2 - Swahili Revised Union Version2 Mwizi akipatikana akiwa yu hali ya kuvunja mahali, naye akapigwa hata akafa, hapatakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwizi akipatikana anavunja nyumba, akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya mauaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwizi akipatikana anavunja nyumba, akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya mauaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwizi akipatikana anavunja nyumba, akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya mauaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Mwizi akishikwa akivunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya kumwaga damu; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Kama mwizi akishikwa anavunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya kumwaga damu; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mwizi akipatikana akiwa yu hali ya kuvunja mahali, naye akapigwa hata akafa, hapatakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake. Tazama sura |