Kutoka 21:3 - Swahili Revised Union Version3 Ikiwa aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kama ameoa, mkewe atatoka aende pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kama alinunuliwa kabla hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na mkewe, basi, ataondoka na mkewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kama alinunuliwa kabla hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na mkewe, basi, ataondoka na mkewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kama alinunuliwa kabla hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na mkewe, basi, ataondoka na mkewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Akija peke yake, ataenda huru peke yake, lakini akija na mke, ataondoka pamoja naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kama akija peke yake, atakwenda huru peke yake, lakini kama akija na mke, ataondoka pamoja naye. Tazama sura |