Kutoka 2:18 - Swahili Revised Union Version18 Walipofika kwa Reueli baba yao, akasema, Imekuwaje hata mkarejea mapema leo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Walipomrudia baba yao Reueli, yeye akawauliza, “Mbona leo mmerudi upesi hivyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Walipomrudia baba yao Reueli, yeye akawauliza, “Mbona leo mmerudi upesi hivyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Walipomrudia baba yao Reueli, yeye akawauliza, “Mbona leo mmerudi upesi hivyo?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wasichana hao waliporudi nyumbani, baba yao Reueli akawauliza, “Imekuwaje leo mmerudi mapema hivyo?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hao wasichana waliporudi nyumbani kwa Reueli baba yao, akawauliza, “Imekuwaje leo mmerudi mapema hivyo?” Tazama sura |