Kutoka 2:12 - Swahili Revised Union Version12 Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Musa akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha kwenye mchanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Musa akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha mchangani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Tazama sura |