Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 18:2 - Swahili Revised Union Version

2 Ndipo Yethro mkwewe Musa akamtwaa Sipora, mke wa Musa, baada ya yeye kumrudisha,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kwa hiyo Yethro, akiwa na Sipora, mkewe Mose, ambaye Mose alikuwa amemrudisha kwa baba yake, alimwendea Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kwa hiyo Yethro, akiwa na Sipora, mkewe Mose, ambaye Mose alikuwa amemrudisha kwa baba yake, alimwendea Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kwa hiyo Yethro, akiwa na Sipora, mkewe Mose, ambaye Mose alikuwa amemrudisha kwa baba yake, alimwendea Mose,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Baada ya Musa kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Baada ya Musa kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea

Tazama sura Nakili

Kutoka 18:2
2 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akawa radhi kukaa kwake mtu yule, naye akampa Musa binti yake, Sipora.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo